Baadhi ya Watoto waliohudhuria katika Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto hafla iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Maryam Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Mnarani Kisonge kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto Zanzibar.
Mtoto Salim Omar Salum kutoka Skuli ya Mombasa akisoma Kur-ani na Dua katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
Mtoto Khairat Ali kutoka Skuli ya Hasnuu Makame akisoma Utenzi katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Maryam Mwinyi akifurahia Wimbo unaoimbwa na Watoto wa Skuli za Maandalizi Saateni,Kidutani na Mama Mariyam Mwinyi katika katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Maryam Mwinyi (katikati)akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi na Watoto wa Skuli za Maandalizi Saateni,Kidutani na Mama Mariyam Mwinyi katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
Muakilishi kutoka Shirika la Kimataifa la UNICEF na Mkuu wa Ofisi ya Zanzibar MD,Laxmi Bhawany akitoa Salamu za Shirika katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Awali Ali Abdul-ghulam Hussein akitoa salamu za Wizara katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma kitoa salamu za Wizara katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Mali asili na Mifugo Shamata Shaame Khamis akitoa salamu za Wizara katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
Waziri wa Afya Nassor Ahmed Mazrui akitoa Samu za Wizara na Kumkaribisha Mgeni Rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Maryam Mwinyi akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Maryam Mwinyi akikata Utepe katika Vitabu kuashiria Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA
PICHA NO-9562-Baadhi ya Watoto waliohudhuria katika Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto hafla iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9577-Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Maryam Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Mnarani Kisonge kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto Zanzibar.
PICHA NO-9598-Mtoto Salim Omar Salum kutoka Skuli ya Mombasa akisoma Kur-ani na Dua katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9611-Mtoto Khairat Ali kutoka Skuli ya Hasnuu Makame akisoma Utenzi katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9633-Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Maryam Mwinyi akifurahia Wimbo unaoimbwa na Watoto wa Skuli za Maandalizi Saateni,Kidutani na Mama Mariyam Mwinyi katika katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9662-Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Maryam Mwinyi (katikati)akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi na Watoto wa Skuli za Maandalizi Saateni,Kidutani na Mama Mariyam Mwinyi katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9682-Muakilishi kutoka Shirika la Kimataifa la UNICEF na Mkuu wa Ofisi ya Zanzibar MD,Laxmi Bhawany akitoa Salamu za Shirika katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9690-Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Awali Ali Abdul-ghulam Hussein akitoa salamu za Wizara katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9703-Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma kitoa salamu za Wizara katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9714-Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Mali asili na Mifugo Shamata Shaame Khamis akitoa salamu za Wizara katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9756-Waziri wa Afya Nassor Ahmed Mazrui akitoa Samu za Wizara na Kumkaribisha Mgeni Rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9779-Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Maryam Mwinyi akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9806-Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Maryam Mwinyi akikata Utepe katika Vitabu kuashiria Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9822-Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Maryam Mwinyi akimkabidhi Tuzo Bi Raya Msabah Ali kutokana na Mchango wake wa Kuandaa Makala ya Watoto katika Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9833-Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Maryam Mwinyi akikabidhiwa Tuzo na Waziri wa Afya Nassor Ahmed Mazrui kwa ajili ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kutokana na Mchangowake Mkubwa kwa Watoto katika Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9873-Watoto kutoka Skuli mbalimbali wakishangilia baada ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9880-Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Maryam Mwinyi akiwa pamoja na Watoto mbalimbali katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NO-9887-Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Maryam Mwinyi akiwa pamoja na Walimu wa Skuli mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Kisonge Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAE
LEZO ZANZIBAR.13/08/2025I
NA YUSSUF SIMAI, MAELEZO ZANZIBAR.13/08/2025I)
………….
Na Rahma Khamis Maelezo 13/8/2025
Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Msarifu Mwenyekiti wa Taasisi ya Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi ameitaka jamii na wadau mbalimbali wa maendeleo kuendeleza ushirikiano katika Uwekezaji wa awali kwa watoto.
Ameyasema hayo katika Viwanja vya Mnarani Kisonge Wilaya ya Mjini katika Uzinduzi wa KAMPENI ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto Zanzibar.
Amesema kuwa jukumu la malezi na makuzi kwa mtoto ni la watu wote hivyo kila mmoja ana wajibu wa kuhakikisha mtoto anapata malezi bora katika jamii.
Amesema kuwa kuwepo kwa kambi hizo zimekua mchango mkubwa katika kutambua mapema matatizo ya afya na kupatiwa huduma stahiki.
Amefafanua kuwa lengo la Uzinduzi wa Kampeni hiyo ni kutoa uwelewa wa malezi na makuzi kwa wazazi na walezi.
Akitoa taarifa fupi kuhusiana na Kampeni hiyo Mratibu wa Programu Jumuishi ya Malezi na Makuzi ya Awali ya Watoto Zanzibar Mariam Issa amesema kuwa programu imeanzishwa 2024 na inaratibiwa kwa ushirikiano wa Ofisi ya Rais,Wizara ya Afya, Kilimo pamoja na Wizara ya elimu.
Lengo la kuanzisha programu hiyo kuhakikisha watoto wanakua katika muelekeo unaofaa kwa kupata Malezi na MakuBora ambapo tayari maandalizi ya mtaala na mlezi yamekamilika
Nae Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Abdulgulam Hussein amesema Wizara ya Elimu inatambua kuwa elimu ndio msingi wa mtoto hivyo itaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ili kuhakikisha watoto wanapata malezi na makuzi bora ili kupata mustakabali mwema.
Amefahamisha kuwa kwa mujibu wa Utafiti Zanzibar ina watoto 64832 hivyo Wizara inaendelea kuboresha mitaala kwa kuongeza upatikanaji wa vifaa ili kujifunza kwa vitendo.
Aidha amesema kuwa Wizara inatoa mafunzo kwa walimu ili waweze kufindisha kwa vitendo sambamba na kuhamasisha uwandikishaji wa watoto maskulini.
Kwa upande wake Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Riziki Pembe Juma amesema kuwa watoto ndio mboni, hazina na rasilimali ya Taifa kwani ndio viongozi wabunifu na Watalamu wa wa baadae kwa kujenga taifa bora.
Aidha amefahamisha Wizara ina jukumu la kuhakikisha wanasimamia Sheria ya mtoto ya No 6 pamoja na Kusimamia sera inayohusu masuala ya malezi pamoja kupiga Kampeni na kutoa elimu kwa wazazi na walezi katika kuisimamia malezi na makuzi.
Ameeleza kuwa Wizara kwa kushirikiana na wadau Ina mpango wa kujenga Vituo 8 vya Malezi ya watoto Unguja na Pemba ili kuhakikisha watoto wanatunzwa katika kupatiwa malezi na makuzi.