Aliyekuwa Mbunge Viti Maalum, Neema Lugangira amenza kazi jijini Brussels kama Katibu Mkuu wa Women Political Leaders (WPL) — Jumuiya ya Kimataifa ya Viongozi Wanawake: Marais, Makamu wa Rais, Mawaziri Wakuu, Mawaziri, Wabunge na Mameya/Wenyeviti wa Halmashauri; ambapo wanalenga kuongeza uwakilishi wa wanawake katika siasa na kuimarisha sauti, ushawishi na aina ya uongozi wao katika... Read More
Aliyekuwa Mbunge Viti Maalum, Neema Lugangira amenza kazi jijini Brussels kama Katibu Mkuu wa Women Political Leaders (WPL) — Jumuiya ya Kimataifa ya Viongozi Wanawake: Marais, Makamu wa Rais, Mawaziri Wakuu, Mawaziri, Wabunge na Mameya/Wenyeviti wa Halmashauri; ambapo wanalenga kuongeza uwakilishi wa wanawake katika siasa na kuimarisha sauti, ushawishi na aina ya uongozi wao katika nyanja na sekta mbalimbali. #UongoziUnaopimika