Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Airtel Bw. Sunil Bharti Mittal aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Agosti, 2025. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na uongozi wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Airtel Bw. Sunil Bharti Mittal, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Agosti, 2025.