
Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini, Kim Keon-Hee, amekamatwa Jumanne, Agosti 12, 2025, akikabiliwa na tuhuma za rushwa, udanganyifu wa hisa, na kuingilia mchakato wa uteuzi wa wagombea wa kisiasa.
Mamlaka zimesema kukamatwa kwake kuliidhinishwa kutokana na hofu kwamba angeweza kuharibu ushahidi. Hatua hiyo inakuja baada ya uchunguzi wa muda mrefu kuhusu mikataba na shughuli za kifedha zilizotekelezwa wakati wa utawala wa mume wake, Rais wa zamani Yoon Suk-Yeol.
KESI ya LISSU WAKILI WAKE AFUNGUKA NINI KIMETOKEA