RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Al Madrasat Swifat Nabawiyati Karimah (Msolopa) ukiongozwa na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiya Kadiria Tanzania Sayyid Othman Abdulkadir Othman (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-8-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Al Madrasat Swifat Nabawiyatil Karimah (Msolopa) baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-8-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mwalimu Mkuu wa Al Madrasat Swifat Nabawiyatil Karimah (Msolopa) Zanzibar. Ustadh Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo na Uongozi huo na (kulia kwa Rais) Mlezi wa Jumuiya ya Zawiya Kadiria Tanzania Sayyid Othman Abdulkadir Othman.(Picha na Ikulu)