#BreakingNews Basi la Mbeya City Express lenye namba za usajili T 647 EMK linalofanya safari zake Mbeya-Tanga limepata ajali Majira ya 11:00 jioni eneo la Mengele- Chimala Wilaya ya Mbarali wa Mkoa wa Mbeya.
Basi hilo lilikuwa linatoka Jijini Mbeya likielekea JijiniTanga kabla ya kupinduka katika barabara Kuu ya Tanzamu Mbeya -Njombe. Endelea kuifatilia Mitandao yetu ya EATV kupata taarifa zaidi ikiwa ni pamoja na mamlaka husika kutoa taarifa juu undani wa ajali hiyo.