


Akizungumza baada ya kuchukua fomu amesema kuwa anaamini anakwenda kutekeleza ahadi zote alizoahidi huku akiwaomba wananchi ifikapo Oktoba 29, mwaka huu kumchagua kwa kura nyingi Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Mbunge wa CCM na diwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
