Asubuhi ya Jumapili kijiji cha Limuru kilikumbwa na mshangao mkubwa. Wenyeji waliposikia makelele ya ajabu walikimbia kuelekea sokoni ambapo kulikuwa na kelele kutoka nyumba ndogo ya kupanga. Ndani ya muda mfupi kundi kubwa la nyuki liliwazunguka watu wawili waliokuwa wakikimbia nje huku wakiwa hawajamaliza kuvaa. Watu wa kijiji waliwashangaa kwa sababu waliwafahamu vizuri. Mwanaume aliitwa. ….. SOMA ZAIDI