Nakumbuka siku hiyo kama jana, habari zilizagaa kijijini mwetu kwa kasi isiyo ya kawaida. Ilikuwa ni mazishi ya mzee mmoja maarufu aliyekuwa akiheshimika kwa mali na mashamba makubwa aliyoyamiliki. Watoto wake walikuwa wamejaa chuki na kinyongo, kila mmoja akitaka kipande kikubwa cha ardhi kabla hata ya mwili wa baba yao kuzikwa. Mzozo ulikuwa wazi kabisa…….. SOMA ZAIDI