Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa na Wilaya wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT) wanaoudhuria mafunzo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, yaliyofanyika leo Ijumaa tarehe 22 Oktoba 2025, katika Ukumbi wa Kilimani Landmark, jijini Dodoma.

22/08/2025
0 Comment
1 Views
BALOZI DKT. NCHIMBI AZUNGUMZA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA UWT
by 4dmin
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa na Wilaya wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT) wanaoudhuria mafunzo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, yaliyofanyika leo Ijumaa tarehe 22 Oktoba 2025, katika Ukumbi wa... Read More