Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam kushuhudia mechi ya michuano ya CHAN kati ya timu ya taifa ya Tanzania na timu ya taifa ya Morocco, Agosti 22, 2025. Kutoka kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Paramagamba Kabudi, Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, Rais wa TFF, Wallace Karia na kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa. Tanzania ilipoteza 1-0.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia mechi ya michuano ya CHAN kati ya timu ya taifa ya Tanzania na timu ya taifa ya Morocco Kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, Agosti 22, 2025, Agosti 22, 2025. Tanzania ilipoteza 1-0.Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Paramagamba Kabudi, Rais wa TFF na wa tatu kulia ni Wallace Karia.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa moyo wachezaji wa timu ya taifa ya mpira wa miguu (Taifa Stars) baada ya kufungwa 1-0 timu ya taifa ya Morocco katika mechi ya michuano ya CHAN kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, Agosti 22, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)