Ufunguzi wa Kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma ( CEOs Forum 2025) leo tarehe 24 Agosti 2025 Kituo cha Mikutano cha Kimataifa AICC Arusha
Mgeni rasmi ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan