Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela wakati alipowasili Makao Makuu ya Wilaya ya Buhigwe kuzindua Tawi la Benki ya CRDB Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma leo tarehe 27 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati alipowasili Makao Makuu ya Wilaya ya Buhigwe kuzindua Tawi la Benki ya CRDB Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma leo tarehe 27 Agosti 2025.
PICHA D3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Buhigwe Bw. George Mbilinyi kuhusu ukarabati wa madarasa ya Shule ya Sekondari Kibande uliofanywa na Benki ya CRDB wakati wa uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB – Buhigwe mkoani Kigoma leo tarehe 27 Agosti 2025.
PICHA D4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki hafla ya uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB – Buhigwe mkoani Kigoma leo tarehe 27 Agosti 2025.
PICHA D5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi cheti cha shukrani Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela kwa kutambua mchango wa Benki hiyo katika maendeleo ya Wilaya ya Buhigwe wakati wa uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB – Buhigwe mkoani Kigoma leo tarehe 27 Agosti 2025.
PICHA D6
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimpongeza mwananchi wa Buhigwe mwenye ulemavu Bw. Adolf Ndamsanyi aliyekuwa mmoja ya wachangiaji wa fedha kwaajili ya ukarabati wa shule Wilayani Buhigwe wakati wa harambee iliyoongozwa na Makamu wa Rais katika uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB – Buhigwe mkoani Kigoma leo tarehe 27 Agosti 2025.
PICHA D7
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizindua rasmi Tawi la Benki ya CRDB – Buhigwe katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma leo tarehe 27 Agosti 2025.
PICHA D8-D0008
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikagua Tawi la Benki ya CRDB – Buhigwe mara baada ya kuzindua tawi hilo katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma leo tarehe 27 Agosti 2025.
PICHA D9-D0009 -D10
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia Viongozi na Wananchi mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB – Buhigwe katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma leo tarehe 27 Agosti 2025.
PICHA 1,2,3,4,5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipokea michango ya fedha kutoka kwa wananchi mbalimbali wakati akiongoza harambee ya kuchangia ukarabati wa Shule ya Sekondari Kilelema na Shule ya Msingi Mhinda zilizopo Wilayani Buhigwe wakati wa uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB – Buhigwe, hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma leo tarehe 27 Agosti 2025.