Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene mfano wa funguo ya gari la kubebea wagonjwa ambalo limetolewa kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) kwa ajili ya kuhudumia sekta ya afya nchini, wakati alipofungua Mkutano wa 13 wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam Agosti 27, 2025. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Haroun Ali SuleimanWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Haroun Ali Suleiman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA) Devota Mrope, wakati alipofungua Mkutano wa 13 wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam Agosti 27, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene, wakati alipofungua Mkutano wa 13 wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA), uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam Agosti 27, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua gari la kubebea wagonjwa ambalo Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) imelitoa kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na kwa ajili ya kuhudumia sekta ya afya nchini, wakati alipofungua mkutano wa 13 wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam Agosti 27, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_5877 PMO_5878 PMO_5888 PMO_5895 PMO_5903 PMO_5904 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wanachama wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) wakati alipofungua Mkutano wa 13 wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam Agosti 27, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)