
Ujio wa Meridianbet pale Kinondoni Manyanya umekuwa wa furaha sana kwa watu wenye ulemavu wa macho ambao leo hii Ijumaa wamefikiwa na kampuni ya ubashiri Tanzania na kupewa msaada wa fimbo za kutembelea maarufu kama (White Cane).
Na safari hii, Meridianbet ilielekeza nguvu zake kwa kundi la watu wenye changamoto ya uoni, kwa kuwapatia msaada wa fimbo maalumu zinazojulikana kama White Cane, zinazotumika na watu wasioona katika shughuli zao za kila siku na huo ukiwa ni mwendelezo wa kurejesha kwenye jamii.
Msaada huu umelenga kuimarisha usalama, heshima na uhuru wa watu wenye ulemavu wa kuona, huku ukionesha dhamira ya Meridianbet katika kujali makundi maalumu ndani ya jamii. White Cane ni nyenzo muhimu inayowawezesha watu wasioona kusafiri kwa ujasiri, kufanya shughuli za kila siku kwa urahisi zaidi na kushiriki kikamilifu kwenye maisha ya kijamii na kiuchumi.
Leo hii tengeneza pesa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Afisa Mahusiano wa Kampuni hiyo Nancy Ingram ndie ambaye akikuwa nahodha wa kuelekea mahali ambapo walipo watu hao wenye ulemavu wa macho. Walipokelewa vizuri sana na tabasamu lilitanda baada ya kusikia ujio wa Meridianbet kwani hii ilionyesha kuwa nao wana umuhimu mkubwa katika jamii licha ya changamoto ambayo inawakabili.
Akizungumza wakati wa tukio hilo, mwakilishi wa Meridianbet alisema: “Meridianbet tunaamini katika falsafa ya ‘Kurudisha kwa Jamii’. Leo tumegusa maisha ya ndugu zetu wenye changamoto ya kuona kwa kuwapatia fimbo za kutembelea. Tunataka waone thamani yao ndani ya jamii na waendelee kufanya shughuli zao kwa uhuru na usalama zaidi. Hii ni sehemu tu ya safari yetu ya kushirikiana na Watanzania katika kujenga jamii yenye mshikamano, upendo na fursa sawa kwa wote.”
Baada ya kupokea msaada huo kutoka Meridianbet, viongozi wa chama cha watu wasioona walitoa shukrani zao kwa mchango huu wa kipekee, wakisisitiza kuwa msaada wa aina hii ni zaidi ya kifaa cha msaada ni mwanga wa matumaini na faraja katika maisha yao, lakini pia waliwasisitiza Meridianbet kurejea tena kwa kutoa msaada wa vitu vingine ikiwemo mahitaji maalumu ya nyumbani na mengine mengi.
Meridianbet itaendelea kugusa maisha ya watu mbalimbali wenye uhitaji kwenye sekta mbalimbali ikiwemo afya, elimu na mengine kibao. Pia watu wengine wanahitaji kuiga mfano wa kampuni hii kubwa Tanzania kwani kutoa ni moyo si utajiri.
Mechi kibao kuendelea siku ya leo huku Meridianbet wakikwambia kuwa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Unangoja nini?. Jisajili hapa na ubashiri leo.