Waziri wa Habara, Vijana, Utamaduni na Michgezo Mhe. Tabia Maulid Mwita amefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA) kama ifuatavyo=-
- Ndg. Naima Omar Faki.
- Ndg. Juma Chum Juma.
- Ndg. Salma Haji Saadat.
- Dr. Amour Rashid Ali.
- Ndg. Mohammed Kassim Mohammed Dadi.
- Ndg. Consolata P. Mushi.
- Ndg. Ziada Tajo Ameir.
- Ndg. Husna Mohammed Khamis.
- Ndg. Ameir Abdalla Ameir.
- Ndg. Bakari Kombo Bakari.
- Ndg. Athumani Salum Ponera.
- Ndg. Bimkubwa Abeid Ali.
- Ndg. Mohammed Salim Mohammed.
- Ndg. Nawaje Ali Mganga.
- Ndg. Zainab Alawi Baharoon.
Uteuzi huo, umeanza leo tarehe 01 September, 2025.
Imetolewa na kitengo cha Habari, Mawasiliano na Uhusiano,