Jina langu ni Miriam kutoka Mombasa. Nilikuwa kwenye uhusiano wa miaka minne na mwanaume niliyempenda kwa dhati. Tulipitia mengi pamoja, tukaanza maisha kwa shida, tukilala kwenye chumba kimoja cha kupanga bila hata kitanda cha maana. Nilijitahidi kuwa nguzo ya maisha yake, nikimfariji kila aliposhindwa na kumtia moyo kila alipoonekana kukata tamaa. Nilidhani mapenzi yetu yangedumu………. SOMA ZAIDI