Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Prof. Abel Makubi kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Mafunzo na Matibabu ya Saratani kinachojengwa katika Hospitali hiyo mkoani Dodoma wakati wa Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Kituo hicho leo tarehe 03 Septemba 2025.
PICHA B2-B002-B003
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kituo cha Mafunzo na Matibabu ya Saratani kinachojengwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma leo tarehe 03 Septemba 2025.
PICHA B4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizindua Kituo cha Upandikizaji Figo kilichopo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma leo tarehe 03 Septemba 2025.
PICHA B5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Prof. Abel Makubi wakati akitembelea maeneo mbalimbali yaliyoandaliwa kwaajili ya Upandikizaji Figo mara baada ya kuzindua Kituo cha Upandikizaji Figo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma leo tarehe 03 Septemba 2025.
PICHA B6-B007
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kituo cha Mafunzo na Matibabu ya Saratani pamoja na kuzindua Kituo cha Upandikizaji Figo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma leo tarehe 03 Septemba 2025.
PICHA B8-B08
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa tuzo iliyotolewa na Hospitali ya Benjamin Mkapa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutambua mchango wake katika kuboresha sekta ya afya nchini. Tuzo hiyo imetolewa wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kituo cha Mafunzo na Matibabu ya Saratani pamoja na kuzindua Kituo cha Upandikizaji Figo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma leo tarehe 03 Septemba 2025.
PICHA B9-B09
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa tuzo iliyotolewa na Hospitali ya Benjamin Mkapa kwa kutambua mchango wake katika Hospitali hiyo. Tuzo hiyo imetolewa wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kituo cha Mafunzo na Matibabu ya Saratani pamoja na kuzindua Kituo cha Upandikizaji Figo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma leo tarehe 03 Septemba 2025.