
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri za Wilaya husika anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi kuomba nafasi za kazi zilizotolewa, kufuatia vibali vya ajira kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2023/2024.
1. HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO (Nafasi za kazi 2)
Mwisho wa kutuma maombi: 16 Septemba 2025
2. HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI (Nafasi za kazi 5)
Mwisho wa kutuma maombi: 16 Septemba 2025
3. HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA (Nafasi za kazi 14)
Mwisho wa kutuma maombi: 12 Septemba 2025
4. HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA (Nafasi za kazi 14)
Tarehe ya tangazo: 02 Septemba 2025, Mwisho wakutuma maombi ya kazi ni tarehe 14 Septemba, 2025
5. HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME (Nafasi za kazi 10)
Tarehe ya tangazo: 01 Septemba 2025, Mwisho wakutuma maombi ya kazi ni tarehe 12 Septemba, 2025.
Kusoma matangazo ya kazi kwa kina fungua lingi hapa chini
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME