
Kiwanja kipo Bagamoyo, Kaole Magambani (Nyuma ya Bagamoyo Secondary School) katika eneo tulivu na salama.
-
Umbali wa mita 500 kutoka barabara ya lami
-
Umbali wa mita 500 pekee kutoka ufukweni mwa bahari
Ukubwa na Sifa
-
Eneo lina ukubwa wa 848 sqm (limepimwa rasmi)
-
Tambarare, linafaa kwa ujenzi wa makazi au biashara
-
Ardhi ya kichanga, rahisi kuchimba na kujenga
-
Vipimo vya mipaka (pembeni) vimepimwa vizuri – hakina kona tata
Bei
-
Tsh Milioni 20 (maongezi yapo kulingana na makubaliano)
Mawasiliano
Kwa maelezo zaidi au kutembelea eneo, wasiliana nasi kupitia:
Call / WhatsApp: +255 795 303 038