Baadhi ya Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi waliohudhuria katika Mafunzo ya kuwajengea Uwelewa Kanuni na Maadili katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jaji Giorge Joseph Kazi akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa Kanuni na Maadili katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Thabit Idarous Faina akiwasilisha mada ya Matayarisho ya Uchaguzi katika Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa Kanuni na Maadili katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
Mkuu wa Kurugenzi ya Mipango ,Utumishi na Utawala Saadun Ahmed Khamis akiwasilisha mada ya Kanuni za Maadili katika Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa , Kanuni na Maadili katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
Mchungaji Kiongozi Timothy Philemon Kalenga akiwasilisha mada kuhusiana na kuwajibika kwa Viongozi katika Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa , Kanuni na Maadili katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
PICHA NO-3797-Mjumbe wa Baraza la Ulamaa Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar Sheikh Shaaban Albataash akiwasilisha mada ya Amani na Usalama katika Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa , Kanuni na Maadili katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
PICHA NO-3805-Mgembea Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Jimbo la Chwaka Jaku Hashim Ayoub akiuliza maswali katika Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa , Kanuni na Maadili katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
PICHA NO-3810-Mgombea Ujumbe wa Uwakilishi Viti Maalum Jmbo la Kikwajuni Attiye Ally Salim akiuliza maswali katika Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa , Kanuni na Maadili katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
PICHA NO-3819-Mgombea Ujumbe wa Uwakilishi Jimbo la Malindi Ali Saleh akiuliza maswali katika Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa , Kanuni na Maadili katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
PICHA NO-3826-Makamo Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Aziza Idi Suwedi akitoa hotuba ya Ufungaji wa Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa , Kanuni na Maadili katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.(PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.12/09/2025)