Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua kampeni za CCM za Urais, Ubunge na Udiwani, mkoa wa Lindi na wilaya ya Ruangwa kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Likangala, Ruangwa, Septemba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikumbatiana na anayewania kurithi kiti cha ubunge wa Jimbo la Ruangwa, Kaspar Mmuya katika uzinuduzi wa kampeni za CCM za Urais, Ubunge na Udiwani mkoa wa Lindi na Jimbo la Ruangwa zilizofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi Likangala Ruangwa, Septemba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2025/2030 mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Ruangwa, Kaspar Mmuya katika uzinuduzi wa kampeni za CCM za Urais, Ubunge na Udiwani mkoa wa Lindi na Jimbo la Ruangwa zilizofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi Likangala Ruangwa, Septemba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimnadi mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Ruangwa, Kaspar Mmuya katika uzinduzi wa kampeni za CCM za Urais, Ubunge na Udiwani mkoa wa Lindi na Jimbo la Ruangwa zilizofanyika Kwenye uwanja wa shule ya msingi Likangala Ruangwa, Septemba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wananchi wakishangilia hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozindua kampeni za CCM za Urais, Ubunge na Udiwani mkoa wa Lindi na Jimbo la Ruangwa zilizofanyika Kwenye uwanja wa shule ya msingi Likangala Ruangwa, Septemba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Mtama, Nape Nnauye na wagombea udiwani wa CCM katika Jimbo hilo alipozindua kampeni za CCM za Urais, Ubunge na Udiwani mkoa wa Lindi na Jimbo la Ruangwa zilizofanyika Kwenye uwanja wa shule ya msingi Likangala Ruangwa, Septemba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mgombea Ubunge wa CCM katika Jimbo la Ruangwa, Kaspar Mmuya katika uzinduzi wa kampeni za CCM za Urais, Ubunge na Udiwani mkoa wa Lindi na Jimbo la Ruangwa zilizofanyika Kwenye uwanja wa shule ya msingi Likangala Ruangwa, Septemba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)