Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Kampeni za CCM za Urais, Ubunge na Udiwani za CCM Jimbo la Lindi Mjini kwenye uwanja wa Shule ya msingi Mnazi mmoja, Septemba 14, 2025. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO 1104 na PMO 1297 Wananchi wakishangilia wakati Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Kampeni za CCM za Urais, Ubunge na Udiwani za CCM Jimbo la Lindi Mjini kwenye uwanja wa Shule ya msingi Mnazi mmoja, Septemba 14, 2025. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO PMO 1188 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2025/2030 mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Lindi Mjini, Mohammed Utaly wakati alipozindua Kampeni za CCM za Urais, Ubunge na Udiwani za CCM Jimbo la Lindi Mjini kwenye uwanja wa Shule ya msingi Mnazi mmoja, Septemba 14, 2025. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO 1070 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye uwanja wa shule ya msingi Mnazi Mmoja kuzindua Kampeni za CCM za Urais, Ubunge na Udiwani za CCM Jimbo la Lindi Mjini , Septemba 14, 2025. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)