Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Malasusa wakati alipowasili Kanisa la KKKT Usharika wa Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam kufungua Mkutano Mkuu wa Shirika la Kiinjilisti la Kimisheni Duniani (UEM) leo tarehe 14 Septemba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana akiwasili Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam kwaajili ya kufungua Mkutano Mkuu wa Shirika la Kiinjilisti la Kimisheni Duniani (UEM) leo tarehe 14 Septemba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki katika Ibada ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Shirika la Kiinjilisti la Kimisheni Duniani (UEM) iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Septemba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Shirika la Kiinjilisti la Kimisheni Duniani (UEM) uliofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Septemba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa zawadi maalum iliyotolewa na Shirika la Kiinjilisti la Kimisheni Duniani (UEM) kwaajili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Shirika la Kiinjilisti la Kimisheni Duniani (UEM) uliofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Septemba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mkutano Mkuu wa Shirika la Kiinjilisti la Kimisheni Duniani (UEM) mara baada ya ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Septemba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa zawadi maalum kutoka Shirika la Kiinjilisti la Kimisheni Duniani (UEM) wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Shirika la Kiinjilisti la Kimisheni Duniani (UEM) uliofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Septemba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na watoto wanaoimba kwaya wenye ulemavu mara baada ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Shirika la Kiinjilisti la Kimisheni Duniani (UEM) uliofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Septemba 2025.