Visa vya wizi wa magari vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara katika maeneo mbalimbali katika nchi jirani. Kila wiki kuna habari moja au mbili zikihusu wizi wa gari, jambo ambalo awali sikulipa uzito nikiamini huenda ni uvumi tu. Lakini majuzi nilikumbana na tukio la moja kwa moja baada ya gari langu aina ya Harrier kuibwa katikati……. SOMA ZAIDI