
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Balozi mteule wa Tanzania nchini Japan Mhe. Anderson Mutatembwa Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Septemba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mteule wa Tanzania nchini Japan Mhe. Anderson Mutatembwa mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Septemba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Balozi mteule wa Tanzania nchini Japan Mhe. Anderson Mutatembwa mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Septemba 2025.








