22/09/2025 0 Comment 33 Views JENGO LAWAKA MOTO KARIAKOO by 4dmin Jengo refu linawaka moto katika Mtaa wa Nyamwezi na Narung’ombe, karibu na geti la kuingilia Shimoni Kariakoo. Jitihada za kuuzima unaendelea huku chanzo cha moto huo bado hakijafahamika, kaa karibu na Michuzi Media kukujuza zaidi Kuelekea Siku Ya Vipimo Duniani; umuhimu wa vipimo vifaa vya hospitali na miradi ya ujenzi Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 12, 2024 Jengo refu linawaka moto katika Mtaa wa Nyamwezi na Narung’ombe, karibu na geti la kuingilia Shimoni Kariakoo. Jitihada za kuuzima unaendelea huku chanzo cha moto huo bado hakijafahamika, kaa karibu na Michuzi Media kukujuza zaidi SHARE Matukio Habari