Nilipofikisha miaka ya mwisho ya ishirini, kila mtu alionekana kuniuliza swali moja: “Hutaolewa lini?” Shinikizo kutoka kwa familia, marafiki na hata jamii lilinifanya nijihisi duni. Niliwahi kujaribu mahusiano kadhaa lakini yaliniishia kwa maumivu. Wengine walinichezea, wengine walinipuuza, na hata nilipokutana na wanaume wa kigeni mitandaoni, mambo hayakuenda mbali. Wengi walionekana kutochukulia uhusiano kwa uzito au walikata mawasiliano ghafla.
Nilianza kuamini labda bahati ya ndoa haipo kwangu. Niliwahi hata kujaribu kusafiri na kuhudhuria hafla ili nipate nafasi ya kukutana na watu wapya, lakini bado nilirudi nyumbani peke yangu. Kila usiku nilijiliza kwa sababu nilitamani kuwa na familia yangu mwenyewe. Nilitamani mapenzi ya kweli, mtu wa kunipenda na kuniheshimu. Nilihisi nimechoka na kukataliwa……SOMA ZAIDI