
Hii ni tangazo rasmi la ajira kutoka Ofisi ya Rais – Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) kwa niaba ya Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA). Mwisho wa kutuma maombi: 05 Oktoba, 2025.
Bonyeza hapa KAZI TEMESA SEPTEMBA 2025
Kwa ufupi, wametangaza nafasi 13 za ajira ikiwemo hizi kuu:
1. Regional Manager
Employer: TEMESA
Kiwango cha elimu: Shahada na Shahada ya Uzamili katika fani za Biashara, Uchumi, Utawala, au Uhandisi (lazima usajili ERB kwa wahandisi).
Uzoefu: Miaka 8 katika kazi husika.
Umri: Usizidi miaka 45 (isipokuwa watumishi wa umma hadi miaka 55).
Mkataba: Ajira ya kudumu na yenye pensheni.
Mshahara: TMSS 10.
Masharti maalum: Atasaini mkataba wa utendaji kazi na akishindwa, atawekwa kwenye nafasi ya Principal Officer.
2. Manager of Consultancy Services
Employer: TEMESA
Kiwango cha elimu: Shahada na Shahada ya Uzamili katika Project Management, Uchumi, Biashara, Masoko au Uhandisi (lazima ERB kwa wahandisi).
Uzoefu: Miaka 8 katika kazi husika.
Umri: Usizidi miaka 45 (isipokuwa watumishi wa umma hadi miaka 55).
Mkataba: Ajira ya kudumu na yenye pensheni.
Mshahara: TMSS 10.
Masharti maalum: Mkataba wa utendaji kazi kama ilivyo kwa nafasi ya Regional Manager.
Masharti ya jumla kwa waombaji
Awe Raia wa Tanzania.
Wenye ulemavu wanahimizwa kuomba.
Wasilishe CV yenye mawasiliano sahihi.
Ambatanisha nakala zilizothibitishwa za vyeti vyote (Shahada, Stashahada, Cheti, NECTA, TCU/NACTE nk.).
Maombi yaandikwe kwa barua iliyosainiwa, Kiswahili au Kiingereza, yakiwa yameelekezwa kwa:
Katibu,
Ofisi ya Rais,
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma,
S.L.P. 2320,
Tambukareli – Dodoma
Bonyeza hapa KAZI TEMESA SEPTEMBA 2025
MWALIMU ALIYEMPIGA MTAMA na KUMCHAPA VIBOKO MWANAFUNZI AFUKUZWA KAZI – ALIKUWA ANAJITOLEA..