25/09/2025 0 Comment 73 Views ABBAS MWINYI, KAKA WA RAIS WA ZANZIBAR DR. HUSSEIN MWINYI, AMEFARIKI DUNIA. by 4dmin Marehemu alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Fuoni kupitia CCM na aliwahi pia kuwa Mbunge wa jimbo hilo kabla. Taarifa zaidi tutakuletea kadri tutakavyokuwa tunazipata kupitia mwandishi wetu aliyepo Zanzibar ULINZI WAIMARISHWA ZIWA NYASA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA DMDP SASA UMEANZA Marehemu alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Fuoni kupitia CCM na aliwahi pia kuwa Mbunge wa jimbo hilo kabla. Taarifa zaidi tutakuletea kadri tutakavyokuwa tunazipata kupitia mwandishi wetu aliyepo Zanzibar SHARE Matukio Habari