Siku hiyo nilikuwa nimeamka mapema kuenda sokoni kununua bidhaa za kuuza dukani kwangu. Nilikuwa nimebeba pesa taslimu kwa sababu wauzaji wengi wa jumla hukubali pesa taslimu pekee. Nilipofika sokoni, nilipanga bidhaa nilizohitaji na kulipa. Lakini dakika chache baadaye, nilipoingiza mkono mfukoni kuchukua pesa za kulipia mizigo mingine, niligundua mfuko wangu ulikuwa tupu. Nilihisi miguu ikinikatika.
Nilijua nilikuwa nimeibiwa. Nilijaribu kutafuta kwenye sakafu au kuuliza waliokuwa karibu, lakini hakuna aliyeona chochote. Machozi yaliniingia bila hata kujua. Hizo pesa ndizo zilikuwa mtaji wangu wote, na bila hiyo siku hiyo haingekuwa na biashara. Nilihisi nimepoteza kila kitu…….. SOMA ZAIDI