
Leo ni Jumatatu ya kipekee kwa mashabiki wa soka duniani, huku viwanja vya EPL, La Liga na Serie A vikitarajiwa kutoa burudani ya kiwango cha juu. Mechi nne zenye mvuto wa kipekee zinapamba ratiba, kila moja ikiwa na uzito wake kwa msimamo wa ligi na morali ya vikosi vinavyoshiriki. Kwa Meridianbet, siku hii ni ya kuchuma ushindi.
Ndani ya Ligi Kuu ya England, Everton wanawakaribisha West Ham dimbani Goodison Park kwa pambano linalotabiriwa kuwa la kasi na ushindani mkali. West Ham wanapambana kuondoka kwenye hatari ya kushuka daraja, huku Everton wakitafuta ushindi wa tatu kwenye ligi. Ukosefu wa nyota kama Wan-Bissaka na Branthwaite kunaleta mtazamo wa ugumu kwenye mchezo huu. Kuelekea mchezo huu meridian wamwemwaga odds za kutosha.
La Liga inatupa mchuano utakaokua na burudani ya kutosha kati ya Valencia na Real Oviedo. Valencia, waliowahi kuwa mabingwa wa Uhispania, wanatafuta kurejesha heshima yao, huku Oviedo wakicheza na Valencia kwa mara ya kwanza tangu waliopanda daraja. Ni mtihani wa ujasiri kwa vijana wa Oviedo, lakini pia ni fursa kwa Valencia kuonyesha kuwa bado wana meno ya kung’ata. Meridianbet inatoa machaguo ya kuvutia yenye odds bomba kabisa.
Vilevile, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#
Italia inatupa burudani ya mechi mbili zenye ladha tofauti. Kwanza, Parma wanakutana na Torino katika dimba la Ennio Tardini. Parma wakiwa hawajashinda hata mechi moja msimu huu, wanakabiliwa na Torino walioko kwenye harakati za kujiimarisha katikati ya msimamo wa ligi. Ni mechi ya kuamua hatima ya morali kwa Parma kwani ushindi unaweza kuamsha ari mpya.
Baadaye usiku, Genoa wanawakaribisha Lazio kwenye uwanja wa Luigi Ferraris. Tofauti ya alama moja tu inawafanya Lazio kupambana kwa nguvu ili kuendelea kuwa juu ya wapinzani wao. Kocha Patrick Vieira anatafuta ushindi wa kwanza tangu kurejea kwa ligi, na mashabiki wanatarajia kuona mbinu mpya na ari ya ushindi kutoka kwake.
Kwa mashabiki wa kubashiri, leo Odds zimelalia upande wao wa faida na ushindi uko mezani. Tembelea Meridianbet.co.tz au pakua Meridian App, tengeneza mkeka wako kwa ujasiri na ufurahie burudani ya soka kwa mtazamo wa mshindi.