Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Rais wa Msumbiji, Daniel Chapo alipomwakilisaha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uapisho wa Rais mteule wa Malawi, Profesa. Arthur. Mutharika uliofanyika kwenye uwanja wa Kamuzu uliopo Blantyre, Oktoba4, 2025. (Picha na Ofisi ya Waari Mkuu)
Mmoja wa washiriki wa sherehe za Uapisho wa Rais mteule wa Malawi, Profesa. Arthur. Mutharika akifuatilia sherehe hizo zilizofanyika kwenye uwanja wa Kamuzu, uliopo Blantyre nchini Malawi Oktoba4, 2025. (Picha na Ofisi ya Wazziri Mkuu).
Rais wa zamani wa Malawi, Joyce Banda alikuwa miongoni mwa washiriki wa sherehe za Uapisho wa Rais mteule wa Malawi, Profesa. Arthur. Mutharika uliofanyika kwenye uwanja wa Kamuzu uliopo Blantyre, Oktoba 4, 2025.. Waziri Mkuu, Kassim Majliwa alimwakilisha Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan katika sherehe hizo, Oktoba4, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mama Getrude Mutharika, Mke wa Rais wa Malawi, Profesa Arthur Mutharika alipomwakilisaha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uapisho wa Rais huyo uliofanyika kwenye uwanja wa Kamuzu, Blantyre nchini humo Oktoba 4, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Rais wa Malawi na Jaji Mstaafu Dkt. Jane Ansah alipomwakilisaha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uapisho wa Rais mteule wa Malawi, Profesa. Arthur. Mutharika uliofanyika kwenye uwanja wa Kamuzu, Oktoba4, 2025. (Picha na Ofisi ya Wziari Mkuu)
Rais Mstaafu wa Malawi, Bakili Muluzi alikuwa miongoni mwa viongozi waliohudhuria katika Uapisho wa Rais mteule wa Malawi, Profesa. Arthur. Mutharika kwenye uwanja wa Kamuzu, Oktoba4, 2025. Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uapisho huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais wa Malawi Profesa Arthur Mutharika akizungumza baada ya kuapishwa kwenye Uwanja wa Kamuzu uliopo Blantyre nchini Malawi, Oktoba 4, 2025. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye uapisho huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)