Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Rais wa Malawi Prof. Arther Mutharika ujumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipomwakilisha Rais Dkt. Samia katika sherehe za kumuapisha Rais wa Malawi, kwenye uwanja wa Kamuzu, Blantyre nchini humo Oktoba 04, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpongeza Rais wa Malawi Prof. Arther Mutharika katika sherehe za kumuapisha Rais huyo zilizofanyika kwenye uwanja wa Kamuzu, Blantyre nchini humo Oktoba 04, 2025. Kulia ni mkewe Getrude Mutharika.
Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sherehe hizo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)