Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua uwekezaji wa Kampuni ya Huaer International Limited ya uchimbaji wa madini ya Bunyu (Graphite) iliyopo katika Kijiji cha Ng’au, Wilayani Ruangwa Oktoba 7, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua uwekezaji wa Kampuni ya Huaer International Limited ya uchimbaji wa madini ya Bunyu (Graphite) iliyopo katika Kijiji cha Ng’au, Wilayani Ruangwa Oktoba 7, 2025. Kulia ni Mtaalamu wa Miamba ya Madini (Geologist) wa mradi huo, Elibariki Mkindwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni Uchimbaji wa Madini ya Bunyu (Graphite) ya Huaer International Limited Jackson Nyamhagate, wakati alipokagua uwekezaji wa Kampuni ya Huaer International Limited ya uchimbaji wa madini ya Bunyu (Graphite) iliyopo katika Kijiji cha Ng’au, Wilayani Ruangwa Oktoba 7, 2025. Kushoto ni Mtaalamu wa Miamba ya Madini (Geologist) wa mradi huo, Elibariki Mkindwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia jiwe lenye madini ya Bunyu, wakati alipokagua uwekezaji wa Kampuni ya Huaer International Limited ya uchimbaji wa madini ya Bunyu (Graphite) iliyopo katika Kijiji cha Ng’au, Wilayani Ruangwa Oktoba 7, 2025. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni Uchimbaji wa Madini ya Bunyu (Graphite) ya Huaer International Limited Jackson Nyamhagate na Mtaalamu wa Miamba ya Madini (Geologist) wa mradi huo, Elibariki Mkindwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)