
Sadio Mané ameendelea kuthibitisha ubora wake baada ya kuibuka shujaa kwa Senegal, akifunga magoli mawili muhimu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Mauritania, uliowapeleka “Lions of Teranga” moja kwa moja kwenye Kombe la Dunia la FIFA 2026.
Timu Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026 Hadi Sasa
Mwenyeji
-
Canada
-
Mexico
-
United States
Asia (AFC)
-
Japan
-
Iran
-
South Korea
-
Australia
-
Jordan
-
Uzbekistan
Afrika (CAF)
-
Morocco
-
Tunisia
-
Algeria
-
Egypt
-
Ghana
-
Cape Verde
-
South Africa
- Ivory Coast
Amerika Kusini (CONMEBOL)
-
Argentina
-
Brazil
-
Uruguay
-
Colombia
-
Ecuador
-
Paraguay
Oceania (OFC)
-
New Zealand
Jumla hadi sasa:
23 timu zimefuzu rasmi kati ya 48 zitakazoshiriki Kombe la Dunia 2026.