Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na maelezo na Meneja Msimamizi wa Usafi wa Mimeo wa Karantini ya Taifa Mussa Chidinda kuhusu aina ya Nzige wa Jangwani na namna wanavyokabiliana nao, wakati wa maadhimisho ya kilele cha Siku ya Chakula Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Tanga, kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Usagara Oktoba 16, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).





Baadhi ya washiriki maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Tanga wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho hayo yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Usagara Oktoba 16, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)