
Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) kipo Dar es Salaam na kinatangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa wahadhiri wapya na wasaidizi wa ufundishaji katika kada za kitaaluma. ARU ni mwajiri mwenye sera ya kutoa fursa sawa kwa wote, hivyo kinakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki na uwezo wa kufanya kazi katika mazingira ya taaluma yanayochochea ubunifu na ubora wa elimu. Soma zaidi hapa>>>TANGAZO LA KAZI ARU
NAFASI ZILIZO WAZI
ARU inatangaza nafasi 38 za ajira katika kada mbalimbali kama ifuatavyo:
- Tutorial Assistant (Information Communication Technology) β Nafasi 3
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Data Science, Computer Science, IT, Cybersecurity, Software Engineering au fani zinazofanana na GPA ya 3.8 au zaidi. - Assistant Lecturer (Law) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Uzamili ya Sheria (GPA β₯ 4.0) na Shahada ya Kwanza ya Sheria (GPA β₯ 3.8). - Tutorial Assistant (Land Management & Valuation) β Nafasi 2
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Land Management & Valuation (GPA β₯ 3.8). - Tutorial Assistant (Property & Facilities Management) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Property and Facilities Management (GPA β₯ 3.8). - Tutorial Assistant (Economics / Econometrics) β Nafasi 3
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Economics, Econometrics, au Economics & Statistics (GPA β₯ 3.8). Ujuzi katika STATA, SPSS, R, au Python utapewa kipaumbele. - Tutorial Assistant (Business & Information Technology) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Business and IT au fani zinazohusiana (GPA β₯ 3.8). Ujuzi wa ERP tools (SAP, Power BI) ni faida. - Assistant Lecturer (Procurement) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Uzamili (GPA β₯ 4.0) na Shahada ya Kwanza (GPA β₯ 3.8) katika Procurement and Supply Chain Management au fani zinazofanana. - Tutorial Assistant (Geomatics/Geospatial Sciences) β Nafasi 3
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Geomatics, Land Surveying, Geospatial Science n.k. (GPA β₯ 3.8). - Tutorial Assistant (GIS and RS/Geoinformatics) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Kwanza katika GIS and RS au Geoinformatics (GPA β₯ 3.8). - Tutorial Assistant (Civil Engineering) β Nafasi 2
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Civil Engineering (GPA β₯ 3.8). - Tutorial Assistant (Environmental Engineering) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Environmental Engineering au Environmental Science (GPA β₯ 3.8). - Tutorial Assistant (Environmental Management) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Environmental Science and Management (GPA β₯ 3.8). - Assistant Lecturer (Water Resources) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Uzamili katika Water Resources Engineering (GPA β₯ 4.0) na Shahada ya Kwanza inayohusiana (GPA β₯ 3.8). - Tutorial Assistant (Community Development) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Community Development, Sociology au Rural Development (GPA β₯ 3.8). - Assistant Lecturer (Urban Sociology) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Uzamili katika Urban Sociology au Environmental Psychology (GPA β₯ 4.0). - Tutorial Assistant (Urban & Regional Planning) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Urban and Rural Planning au Regional Development (GPA β₯ 3.8). - Tutorial Assistant (Project Planning & Management) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Project Planning, Business Administration n.k. (GPA β₯ 3.8). - Tutorial Assistant (Development Studies) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Development Studies au Community Development (GPA β₯ 3.8). - Tutorial Assistant (Linguistics) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Linguistics na English Language (GPA β₯ 3.8). - Tutorial Assistant (Architecture) β Nafasi 5
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Architecture (GPA β₯ 3.8). - Tutorial Assistant (Quantity Surveying & Construction Economics) β Nafasi 2
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Quantity Surveying au Building Economics (GPA β₯ 3.8). - Assistant Lecturer (Structural Engineering) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Uzamili katika Structural Engineering (GPA β₯ 4.0) na Shahada ya Kwanza ya Civil Engineering (GPA β₯ 3.8). - Tutorial Assistant (Interior Design) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Interior Design (GPA β₯ 3.8). - Tutorial Assistant (Landscape Architecture) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Landscape Architecture (GPA β₯ 3.8). - Assistant Research Fellow (Civil/Geotechnical Engineering) β Nafasi 1
Sifa: Uzamili wa Civil Engineering (GPA β₯ 4.0) na Shahada ya Kwanza (GPA β₯ 3.8). - Research Fellow Trainee (Civil Engineering) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Civil Engineering (GPA β₯ 3.8). - Assistant Research Fellow (Climate Change/Disaster Risk Management) β Nafasi 1
Sifa: Uzamili katika Climate Change au Environmental Engineering (GPA β₯ 4.0). - Research Fellow Trainee (Climate Change/Disaster Risk Management) β Nafasi 1
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Climate Change, Disaster Risk Management n.k. (GPA β₯ 3.8). - Assistant Librarian Trainee β Nafasi 4
Sifa: Shahada ya Kwanza katika Library and Information Science (GPA β₯ 3.8).
Soma zaidi hapa>>>TANGAZO LA KAZI ARU
MASHARTI YA JUMLA
- Mwombaji awe Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 45.
- Awe na CV yenye mawasiliano kamili (anuani, simu, barua pepe).
- Awe na vyeti halisi vya elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
- Vyeti vya nje vihalalishwe na NECTA au TCU.
- Maombi yote yawasilishwe kwa Kiingereza na kusainiwa na mwombaji.
- Maombi yote yatumewe kupitia mfumo wa ajira serikalini (Recruitment Portal):
http://portal.ajira.go.tz
Mwisho wa kutuma maombi: 28 Oktoba 2025
Anuani ya mawasiliano:
Makamu wa Chansela, Ardhi University, S.L.P. 35176, Dar es Salaam.
Β