Afisa Kazi Mkuu Idara ya Ajira na Ukuzaji Ujuzi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Bi. Neema Moshi, akizungumza wakati wa mafunzo ya kuongeza ujuzi na maarifa kwa wakulima na wafanyakazi wa zao la Zabibu Hombolo Dodoma Tarehe 20 Oktoba, 2025.


Wakulima na wafanyakazi wakipewa elimu katika kituo cha Hombolo Dodoma wakati mafunzo ya kuongeza ujuzi na maarifa kwa wakulima na wafanyakazi wa zao la Zabibu yanayoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu tarehe 20 Oktoba, 2025.
(Habari na Picha na OWM – KVAU)
Consolata Msungu – Afisa Habari.