Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amedai kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo alipokuwa akiwasili mahakamani.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika akiongelea kukamatwa kwa John Heche
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV — usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe ili uendelee kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.