Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa kituo cha Polisi Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi, ambacho kimegharimu kiasi cha shilingi milioni 194.3 kituo hicho kitahudumia wananchi vijiji 32 walioko katika kata 8 za wilaya hiyo, Oktoba 23, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwonekano wa kituo cha Polisi Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi, ambacho kimegharimu kiasi cha shilingi milioni 194.3 kituo hicho kitahudumia wananchi vijiji 32 walioko katika kata 8 za wilaya hiyo, Oktoba 23, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kukagua ujenzi wa kituo cha Polisi Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi, ambacho kimegharimu kiasi cha shilingi milioni 194.3 kituo hicho kitahudumia wananchi vijiji 32 walioko katika kata 8 za wilaya hiyo, Oktoba 23, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi baada ya kukagua ujenzi wa kituo cha Polisi Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi, ambacho kimegharimu kiasi cha shilingi milioni 194.3 kituo hicho kitahudumia wananchi vijiji 32 walioko katika kata 8 za wilaya hiyo, Oktoba 23, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya wasichana Liuguru, wakati alipotembelea shule hiyo iliyopo Kata ya Narungombe, Ruangwa mkoani Lindi. Oktoba 23, 2025. (Picha na Ofiisi ya Waziri Mkuu)