Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Jenifa Christian Omolo (kushoto) akipokea tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Jacob Kibona (katikati) kwa kutambua mchango wake wakati wa Mahafali ya 14 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji PSPTB Godfred Mbanyi
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Jenifa Christian Omolo, akizungumza wakati wa Mahafali ya 14 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Jacob Kibona akizungumza katika Mahafali ya 14 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB kuanzishwa kwa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi 2007 nak usema kuwa kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha bodi matokeo yote ya mitihani ya bodi ni lazima yapitiwe na kuidhinishwa na bodi ya Wakurugenzi.
Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) Godfred Mbanyi akizungumza wakati wa Mahafali ya 14 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB ambapo amewaasa wahitimu kufanya kazi kwa kufata maadili ya kitaaluma ili kulinda heshima ya fani yao na kuleta ufanisi katika matumizi ya rasirimali za umma kwa manufaa ya Taifa wakati wa mahafali hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel akitoa neno kwa wahitumu wakati wa mahafali ya 14 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB.
Baadhi ya Wageni waalikwa pamoja na wafanyakazi wa PSPTB wakifuatilia hotuba ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Jenifa Christian Omolo wakati wa Mahafali ya 14 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Jenifa Christian Omolo akiwatunuku wahitimu wa walioudhuria Mahafali ya 14 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Jenifa Christian Omolo akitoa zawadi kwa baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri kwenye mitihani ya Bodi wakati wa mahafali ya 14 ya Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.















































