WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waumini wa Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu Dodoma mara baada ya kushiriki Ibada ya jumapili katika kanisa hilo leo tarehe 18 Januari,2026.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akishiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu Dodoma leo tarehe 18 Januari, 2026. (Pembeni yake ni Prof. Kabudi Palamagamba, Waziri wa ofisi ya Rais-Kazi Maalum).
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, akisalimiana na Mhashamu Dkt. Dickson Chilongani, Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika Dodoma nje ya jengo la Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu Dodoma mara baada ya kumalizika kwa Ibada leo tarehe 18 Januri, 2026. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)




