

Kampuni inayoongoza ya kubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, imeingia rasmi ushirikiano wa kipekee na kampuni ya mtandao wa simu wa Yas kupitia huduma ya Mix By Yas na kuanzisha promosheni ya kusisimua ya JIMIXX na Ushindi Bab Kubwaa inayolenga kuwavutia mashabiki wa kubashiri kote Tanzania, kuanzia Januari 27 hadi Aprili 27, 2026, ikilenga kutoa zawadi na burudani kwa washiriki.
Wakati wa promosheni hiyo, mwakilishi wa Meridianbet, Clementina Kigwa, alisema ni kwa namna gani kampuni imelenga kutoa burudani kubwa pamoja na fursa za ushindi kwa wateja wake.
“Tunafurahi kushirikiana na Mixx by Yas kuanzisha promosheni hii ya kusisimua kwa wateja wetu wapendwa, Sisi Meridianbet, tuna dhamira ya kutoa thamani na burudani bora kwa wateja wetu, na promosheni hii ni ushahidi wa uaminifu wetu.” alisema.
Kuhusu utaratibu wa ushindi alieleza kwamba kila siku, wateja watakaoweza kuweka dau la kuanzia Tsh.5,000 au zaidi kupitia Mix By Yas basi watakuwa wakijishindia mizunguko ya bure kwenye michezo ya kasino iliyo chini ya Expanse Studios, hii ikiwa ni fursa ya kujiongezea ushindi na burudani bila kuingia gharama za ziada.

Mbali na mchezo huu, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mgawanyo wa zawadi umegawanywa kwenye makundi tofauti zikiwepo zawadi za kila siku ambazo ni mizunguko ya bure, zawadi za kila wiki zikijumuisha simu mpya za kisasa aina ya Samsung A26 2 kwa kila wiki, na zawadi kuu ambapo bajaji mpya 2 zitatoka, Pikipiki aina ya Boxer na TV aina ya Hisense inch 55.
Kwa upande mwingine, Meneja biashara wa kampuni ya Mixx by Yas, Ayimbora John, amewahimiza wateja wa Mixx by Yas, kuchukua fursa hii kwa kuendelea kuweka pesa kwenye akaunti zao za kubashiri za Meridianbet kupitia Mixx by Yas.
“Wateja wa Mixx wanaweza kushinda zawadi hizi kwa kuweka pesa kwenye akaunti zao za kubashiri kwa kutumia mix super app au kupiga *150*01#, Chagua Malipo ya Bili, kisha Chagua na Ingiza Namba ya Biashara 444999, ikifuatiwa na kiasi.” Ayimbora alieleza.
Washindi watachaguliwa kupitia droo za kila siku, na droo kuu ya wiki itafanyika kila Ijumaa na Jumatano. Meridianbet na Mixx by Yas zinaendelea kuonyesha kwamba wao ni vinara wa utoaji wa huduma bora kwa wateja wake kupitia promosheni zenye kuvutia na zawadi nyingi. Usicheze na fursa JIMIXX na Ushindi Bab Kubwa sasa.
The post Meridianbet Na Yas Tanzania wakusogezea JIMIXX na Ushindi Bab Kubwaa appeared first on Global Publishers.





