Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Dkt,Riziki Pembe Juma akisalimiana na Wadau wa Habari mara baada ya kuwasili katika Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Dkt,Riziki Pembe Juma akibadilishana Mawazo na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mattar Zahor Masoud mara baada ya kuwasili katika Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wadau wa Habari walihudhuria katika Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wa Taasisi za Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi wa Habari Maelezo Salum Ramadhan Abdalla akitoa hotuba ya Makaribisho katika Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar
Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Dkt,Riziki Pembe Juma akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Dkt,Riziki Pembe Juma akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.





