WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi waliojitokeza kumsikiliza leo tarehe 14 Februari, 2026 mara baada ya kuweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya Kilindi mkoani Tanga iliyojengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 2.64 ambapo kati ya fedha hizo shilingi 2.51 ni kutoka Serikali Kuu, Shilingi milioni 50 ni za mapato ya ndani ya Halmashauri na shilingi milioni 89.9 ni kutoka Benki ya Dunia. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akimjulia hali mgonjwa aliyekuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya Kilindi mkoani Tanga iliyojengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 2.64 ambapo kati ya fedha hizo shilingi 2.51 ni kutoka Serikali Kuu, Shilingi milioni 50 ni za mapato ya ndani ya Halmashauri na shilingi milioni 89.9 ni kutoka Benki ya Dunia. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akiweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya Kilindi mkoani Tanga iliyojengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 2.64 ambapo kati ya fedha hizo shilingi 2.51 ni kutoka Serikali Kuu, Shilingi milioni 50 ni za mapato ya ndani ya Halmashauri na shilingi milioni 89.9 ni kutoka Benki ya Dunia leo tarehe 14 Februari, 2026. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo tarehe 14 Februari, 2026. akisalimiana na wananchi wa Kilindi mkoani Tanga mara baada ya kukagua mradi wa maji wa Kwamaligwa uliopo wilayani humo ambao utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 6.98 hadi kukamilika kwake. Mradi huo unaotekelezwa kwa fedha za Mfuko wa Maji chini ya usimamizi wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) unatoka kwenye bwawa lenye uwezo wa kuhifadhi maji kiasi cha lita 670,902,360 kwa mwaka. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU.

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo tarehe 14 Februari, 2026. Akizungumza na wananchi wa Kilindi mkoani Tanga mara baada ya kukagua mradi wa maji wa Kwamaligwa uliopo wilayani humo ambao utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 6.98 hadi kukamilika kwake. Mradi huo unaotekelezwa kwa fedha zaMfuko wa Maji chini ya usimamizi wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) unatoka kwenye bwawa lenye uwezo wa kuhifadhi maji kiasi cha lita 670,902,360 kwa mwaka. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU




