Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempangia kituo cha kazi Balozi Mhandisi Zena Ahmed Said ambapo kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Balozi Mhandisi Zena Ahmed Said amepangiwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia


