Muonekano wa jiji la Dodoma kuelekea mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi – CCM utakaofanyika weekend hiiJanuari 18 na 19 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Conversation Center JKCC jijini Dodoma
The post Muonekano wa jiji la Dodoma kuelekea mkutano mkuu maalumu wa CCM first appeared on Millard Ayo.