Naibu Katibu Mkuu CCM Bara John Mongella ameongoza CCM Marathon ambayo inafanyika Mkoani Dodoma katika kuadhimisha miaka 48 ya CCM
Mbio hizi zinafanyika katika Viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre
Viongozi wengine Katibu wa NEC Organization Issa Gavu, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Kawaida
The post PICHA :CCM Marathon ambayo imefanyika mkoani Dodoma first appeared on Millard Ayo.