Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na viongozi pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi
Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Machi, 2025.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na viongozi pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi
Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Machi, 2025.